Lala Salama, Mbwa Mwitu Mdogo
Author:
Publisher: Sefa
Published: 2018-08-05
Total Pages: 42
ISBN-13: 9783739906331
DOWNLOAD EBOOKBilingual children's book, age 2-4 and up, English - Swahili, with mp3 audiobook for download Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night - and unexpectedly encounters some friends... "Sleep Tight, Little Wolf" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages. NEW! Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks in both languages. Kitabu cha picha cha lugha mbili, Kiingereza - Kiswahili, na mp3 kitabusauti kwa kupakuliwa Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50. Na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo. Mpya! Sikiliza simulizi zikisomwa na wasemaji wa lugha mama! Katika kitabu utapata kiunganishi bure kwa kitabusauti kwa lugha zote mbili.