Kakofia Keusi

Kakofia Keusi

Author: Anna Samwel

Publisher: BoD – Books on Demand

Published: 2020-06-23

Total Pages: 54

ISBN-13: 3751957685

DOWNLOAD EBOOK

KAKOFIA KEUSI Kakofia Keusi ni mtoto anayeishi barani Afrika. Siku moja, alitumwa na mama yake kwenda kijiji cha jirani kuwapeleka chakula bibi na babu yake, kwa sababu walikuwa wagonjwa. Kakofia Keusi alimkubalia mama yake na kuondoka. Alipita njia ya mkato ya mwituni ili afike upesi. Je, Kakofia Keusi atafanikiwa kufika kwa bibi na babu yake salama? Safiri naye ili ujionee mwenyewe jinsi anavyoupita mwitu huo.